Header Ads

WAMILIKI WA NYUMBA ZA KULALA WAGENI, KICHEKO NJE


Serikali imetangaza kufuta ushuru wa huduma kwenye nyumba za kulala wageni.

Hayo yameelezwa leo (Alhamisi) bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango wakati akiwasilisha bajeti kuu ya mwaka 2017/18.

Pamoja na ushuru huo, pia Serikali imefuta ushuru wa mabango yanayoelekeza mahali zinapopatikana huduma za kijamii kama vile shule na hospitali.

No comments