WALEMAVU WAIFURAHIA BAJETI
Serikali imefuta ushuru wa forodha katika malighafi za kuunganisha vifaa vya walemavu.
Awali, malighafi hizo zilikuwa zikitozwa asilimia25 kwa kila malighafi.
Hayo yameelezwa leo (Alhamisi) bungeni na Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango akiwasilisha bajeti kuu ya mwaka 2017/18.
“Kufutwa huku kwa ushuru kutasaidia waunganishaji ambao watanufaika na itasaidia kukuza ajira na kuimarisha utengenezwaji wa vifaa hivyo, Afrika Mashariki,” amesema.

Post a Comment