Chukua Tahadhari Kama Unatumia Hizi Bulb
Tunapenda kupunguza matumizi ya nishati, hizi bulb ambazo ni rafiki wa mazingira na zinazookoa nishati(energy serving bulb) zimekuwa zikitumika zaidi kwa sasa.
Ila ni vyema ujue kwamba hizi bulb za kisasa ni kweli zina sumu. Shirika la kulinda Mazingira limetoa maelekezo ya dharura unayohitaji kuyafuata endapo bulb yako itavunjika.
Hii ni kutokana na gesi yenye sumu inayotoka endapo bulb itavunjika.
Taasisi ya Fraunhofer Wilhelm Klauditz ya Ujerumani inadai kuwa kama taa hii itavunjika ndani ya nyumba itatoa mara 20 zaidi ya Mercury katika hewa
Bulb hizi za kupunguza matumizi ya Nishati zinaweza kukuletea matatizo haya;
Kizunguzungu
Kifafa
Maumivu ya kichwa
Uchovu
Kutostahimili
Wasiwasi
1.Bulbu hizi zinazookoa nishati zina wingi wa zebaki(mercury)
Mercury ni hatari hasa kwa
watoto na
wanawake wajawazito.
Uharibu mfumo wa neva,
ubongo,
figo na
ini.
Pia uharibu uzazi,
kinga ya mwili,
mfumo wa mishipa ya moyo,
pia inaweza kukusababishia mitikisiko,
kukosa usingizi, kuumwa kichwa,
wasiwasi na
kupoteza kumbukumbu
2.Bulb hizi zinaweza kukusababishia Kansa
Utafiti uliofanywa Maabara uligundua kwamba hizi balbu pia zina sumu zinazoweza kukusababishia kansa
Phenol, tindikali hii yenye chembechembe nyeupe zenye sumu inapatikana katika makaa ya mawe na inatumika kwa matumizi ya viwanda
Taa hizi zina wingi wa mionzi ya UV
Mionzi hii ya UV si mizuri kwa afya ya ngozi na inaweza kukusababishia kansa ya ngozi.
Baada ya kusoma haya maelezo unaweza kuchagua kuendelea kutumia balbu hizi kwa maana gharama zake ni nafuu, kama utafanya hivyo basi yakupasa kusoma maelekezo na kujua jinsi ya kukabiliana na mercury(zebaki) na kemikali zinazoweza kukusababishia kansa.
Fanya hivi kabla ya kutoa bulb iliyopasuka;
Watu na wanyama waondoke katika chumba
Fungua madirisha na milango kwa mda wa dakika 5-10
Post a Comment