Header Ads

Miili ya wanajeshi wa Uganda waliouawa Somalia yawasili

       Miili ya wanajeshi wa uganda yawasili nyumbani
Miili ya wanajeshi 12 wa Uganda waliouawa nchini Somalia siku ya Jumapili imesafirishwa nyumbani.

Shere ya kijeshi ilifanyika wakati miili hiyo iliwasili uwanja wa ndege wa Entebbe.

Familia zilifika na wengine walikuwa na husuni wakati ndege ilitua uwanjani.                            Miili ya wanajeshi wa uganda yawasili nyumbani

Wanajeshi wa Uganda huchukua asilimia kubwa ya kikosi cha Amisom kinachoiunga mkono serikali ya Somalia katika vita dhidi ya al-Shabab.

Hao ndio wanajeshi wengi zaidi wa Uganda kuuliwa nchini Somalia tangu mwaka 2015 wakati wanajeshi 19 waliuliwa wakati wa shambulizi la al-Shabab.

No comments