Header Ads

Singida United Moto Wa Kuotea Mbali

                         
                                        KIGI MAKASI

Winga huyu aliyehudumu kwa nyakati tofauti timu ya Taifa ya Tanzania, Simba S.C na baadae Ndanda Fc amekamilisha uhamisho wake kutoka Ndanda Fc kwenda Singida United Fc.

Kigj Makasi, Mchezaji anayeongoza kibongobongo kuwa na moyo wa kujituma vilivyo awapo uwanjani, ameamua kuivia beji ya ukepteni wa Ndanda Fc na kuelekea katikati mwa nchi ya Tanzania kuungana na timu ya Ushindi SU.

Kigi Makasi amekuwa ndio mchezaji anayefunga ukurusa wa usajili ndani ya Singida United kwa msimu wa 2017/2018.

No comments