Header Ads

Polisi wakamata watu 12 kufuatia shambulizi la London..

Polisi wa kupambana na ugaidi

Polisi mjini London, wanasema wamewakamata watu 12, katika maeneo tofauti mtaa wa Barking, mashariki mwa jiji, kuhu-siana na shambulio katika Daraja la London, ambapo watu 7 waliuwawa, na 48 kujeruhiwa.

Polisi wanasema wanaendelea kufanya msako katika eneo hilo,

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, anasema uchaguzi mkuu wa Alhamisi, licha ya kutokea shmbulizi la tatu katika muda kama huo.Maua yaliwekwa eneo la shambulizi

Alisema ghasia zisiruhusiwe kuchafua utaratibu wa demokrasi.

Alielezea shambulio hilo, kuwa msimamo unapotosha Uislamu na ukweli.

Watu 21 wako katika hali mahututi.Polis wakisaka nyumba mashariki mwa Londo
Counter-terrorism policeHaki miliki ya picha
Image captionPolisi wa kupambana na ugaidi
Polisi mjini London, wanasema wamewakamata watu 12, katika maeneo tofauti mtaa wa Barking, mashariki mwa jiji, kuhu-siana na shambulio katika Daraja la London, ambapo watu 7 waliuwawa, na 48 kujeruhiwa.
Polisi wanasema wanaendelea kufanya msako katika eneo hilo,.
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, anasema uchaguzi mkuu wa Alhamisi, licha ya kutokea shmbulizi la tatu katika muda kama huo.
A woman laying flowersHaki miliki ya picha
Image captionMaua yaliwekwa eneo la shambulizi
Alisema ghasia zisiruhusiwe kuchafua utaratibu wa demokrasi.
Alielezea shambulio hilo, kuwa msimamo unapotosha Uislamu na ukweli.
Watu 21 wako katika hali mahututi.
Police operation in Barking, east LondonHaki miliki ya picha
Image captionPolis wakisaka nyumba mashariki mwa London
Image caption
Ramani ya eneo kulitokea shambulizi

No comments