Ireland kupata waziri mkuu wa kwanza mpenzi wa jinsia moja
Leo Varadkar 38 atakuwa waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi Ireland
Leo Varadkar anatarajiwa kuwa waziri mkuu nchini Ireland baada ya kushinda uongozi kwa chama cha Fine Gael.
Varadkar mwenye umri wa miaka 38, atakuwa waziri mkuu wa kwanza mpenzi wa jinsia moja na pia waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi kuwaia kuongoza nchi hiyo
Bwana Varadkar alimshinbda wazari wa makao Simon Ceveney kwa asilimia 60 ya kura kuongoza chama cha Fine Gael, ambacho ndicho chama kikubwa zaidi katika serikali ya umoja.
Leo Varadkar akiwapungia mkono wafuasi
Atachukua mahala pa Enda Kenny kama kiongozi wa chama cha kati kulia wiki chache zinazokuja.
Alijulikana kuwa mpenzi wa jinsia moja wakati wa kura ya maoni ya ndoa za jinsia moja mwaka 2015.
Atachukua mahala pa Enda Kenny kama kiongozi wa chama cha kati kulia wiki chache zinazokuja.
Alijulikana kuwa mpenzi wa jinsia moja wakati wa kura ya maoni ya ndoa za jinsia moja mwaka 2015.
Leo Varadkar akipongezwa na Simon Coveney
Post a Comment