HIZI HAPA KLABU TAJIRI DUNIANI
Manchester united timu yenye thamani kubwa duniani
United inathamani ya kiasi cha pauni billion 2.86 hii ni mara ya kwanza kwa Man United kuongoza listi hiyo katika miaka mitano.
Barca wako katika nafasi ya pili wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.82, mabingwa wa ulaya Real Madrid wakoa katika nafasi ya tatu wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.77.
Timu zinazofuata kwa thamani duniani
4) Bayern Munich - $2.71bn (£2.10bn)
5) Manchester City - $2.08bn (£1.61bn)
6) Arsenal - $1.93bn (£1.50bn)
7) Chelsea - $1.85bn (£1.43bn)
8) Liverpool - $1.49bn (£1.15bn)
9) Juventus - $1.26bn (£980m)
10) Tottenham - $1.06bn (£820m).
Post a Comment