VIONGOZI WA G7 KUKUTANA....
Rais TRUMP tayari awasili Sicil,
Mkutano huo unafanyika pia katika wiki hii ambayo mashambulio ya kigaidi yalifanyika nchini Uingereza, huku viongozi hao wakitarajiwa kukubaliana juu ya haja ya kuongeza mapambano kukabili imani kali.
Viongozi wa mataifa
saba yenye nguvu za kiuchumi duniani maarufu kama G saba, leo wanaanza
mkutano wao wa siku mbili nchini Italia
.
Mkutano huo unaofanyika
Sicily utakuwa wa kwanza wa mataifa saba yenye nguvu, kuhudhuriwa na
Rais Trump katika siku za mwisho ya ziara yake nje ya nchi yake.Mkutano huo unafanyika pia katika wiki hii ambayo mashambulio ya kigaidi yalifanyika nchini Uingereza, huku viongozi hao wakitarajiwa kukubaliana juu ya haja ya kuongeza mapambano kukabili imani kali.





Post a Comment