Kampuni ya Sportpesa baada ya kuweka mkataba wa kuidhamini klabu ya Everton kutoka Uingereza
Klabu ya Uingereza ya Everton itazuru nchini Tanzania kwa mechi za kirafiki kabla ya msimu wa 2017/18.
Kulingana
na tovuti rasmi ya klabu hiyo, ziara hiyo ambayo ni ya kusheherekea
udhamini mpya wa klabu hiyo na Sportpesa itakuwa na mechi ya kirafiki
kati ya klabu hiyo na nyota wa Tanzania katika uwanja Taifa wa Dar es
salaam wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 60,000 tarehe 13 Julai. Everton itakuwa klabu ya kwanza ya ligi ya Uingereza
kucheza katika taifa hilo la Afrika Mashariki, na itakabliana dhidi ya
mshindi wa kombe hilo la Sportpesa.Mchuano huo utashirikisha timu kutoka Tanzania na Kenya ambazo zitatoa timu nne kila moja wao. Everton inakua timu ya kwanza inayoshiriki EPL kucheza katika ardhi ya Afrika Mashariki
Mapema mwezi huu Everton ilitangaza udhamini wa
mamilioni ya pesa na Sportpesa ambapo jina la kampuni hiyo ya kamare
litakuwa mbele ya tisheti za mabingwa hao wa Uingereza kwa miaka mitano.
Tangu kuanzishwa kwake nchini Kenya 2014 kampuni hiyo imedhamini vilabu vingi, kuwekeza mbali na kushiriki katika kama
Kampuni ya Sportpesa baada ya kuweka mkataba wa kuidhamini klabu ya Everton kutoka Uingerez
Klabu ya Uingereza ya Everton itazuru nchini Tanzania kwa mechi za kirafiki kabla ya msimu wa 2017/18.
Kulingana
na tovuti rasmi ya klabu hiyo, ziara hiyo ambayo ni ya kusheherekea
udhamini mpya wa klabu hiyo na Sportpesa itakuwa na mechi ya kirafiki
kati ya klabu hiyo na nyota wa Tanzania katika uwanja Taifa wa Dar es
salaam wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 60,000 tarehe, Ziara hiyo inadhaminiwa na kampuni ya sportpesa.
Everton itakuwa klabu ya kwanza ya ligi ya Uingereza
kucheza katika taifa hilo la Afrika Mashariki, na itakabliana dhidi ya
mshindi wa kombe hilo la Sportpesa.
Mchuano huo utashirikisha timu kutoka Tanzania na Kenya ambazo zitatoa timu nne kila moja wao.
Post a Comment